SLEEPY SENSITIVE MINI BABY DIAPERS (3–6 KG)
Sh 18,000
Hizi ni nepi za watoto aina ya Sleepy Sensitive Mini, zilizotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ya “water woven” kwa ajili ya kulinda ngozi laini ya mtoto. Zina tabaka la juu laini (top sheet) linalosaidia kuweka ngozi ya mtoto ikiwa kavu na salama. Zinapendekezwa kwa watoto wenye uzito wa kilo 3 hadi 6, na pakiti hii ina jumla ya nepi 68. Zimejaribiwa kitaalamu kuhakikisha hazisababishi muwasho kwenye ngozi ya mtoto.
Description

Sleepy Sensitive Mini baby diapers are designed with innovative water-woven technology to protect your baby’s delicate skin. They feature a soft top sheet that helps keep the baby dry and comfortable. Suitable for babies weighing 3–6 kg, this pack contains 68 diapers. Dermatologically tested to ensure they are gentle and safe for sensitive skin.

Reviews
There are no reviews yet.