Subtotal: Sh 9,000
Your order qualifies for free shipping!
Sh 18,000
Hizi ni nepi za watoto wachanga (newborn) aina ya Sleepy Sensitive, zilizotengenezwa kwa teknolojia ya kisasa ya “water woven” kwa ajili ya kulinda ngozi nyeti ya mtoto mchanga. Zina tabaka la juu laini (top sheet) linalosaidia kuweka mtoto akiwa mkavu na mwenye faraja muda wote. Zinapendekezwa kwa watoto wenye uzito wa kilo 2 hadi 5. Pakiti hii ina jumla ya nepi 70, na zimejaribiwa kitaalamu kuhakikisha ni salama kwa ngozi nyeti ya mtoto.

Sleepy Sensitive Newborn baby diapers are specially designed for newborn babies using innovative water-woven technology to protect delicate skin. They feature a soft top sheet that keeps the baby dry and comfortable. Suitable for babies weighing 2–5 kg, this pack contains 70 diapers. Dermatologically tested to ensure safety for sensitive skin.
Reviews
There are no reviews yet.