Subtotal: Sh 9,000
Your order qualifies for free shipping!
Sh 4,000
VINUT BASIL SEED LEMON & MINT ni kinywaji chenye ladha ya limau na mint kilichochanganywa na mbegu za basil (sabja) kinachotoa hisia ya baridi, fresh na kuburudisha sana. Mchanganyiko wa uchachu wa limau na harufu ya mint huleta ladha ya kipekee, huku mbegu za basil zikiongeza texture ya kuvutia. Ni chaguo bora kwa siku za joto au wakati wowote unapotaka kinywaji cha afya.

VINUT BASIL SEED LEMON & MINT is a refreshing drink infused with lemon and mint flavors plus basil seeds, delivering a cool, crisp, and revitalizing taste. The zesty lemon and fresh mint combination, along with the unique texture of basil seeds, makes it a perfect hydrating beverage for any time of the day.
Reviews
There are no reviews yet.