Universal Foam Cleaning Agent – Cleaning Expert
Safisha kwa urahisi na ufanisi mkubwa! Hii Universal Foam Cleaning Agent ni suluhisho bora kwa kuondoa uchafu mgumu, mafuta, na vumbi kwenye vifaa mbalimbali.
Faida zake:
•Inatoa povu lenye nguvu linalosafisha kwa kina na hutoa harufu nzuri
•Inafaa Kwa matumizi ya kusafishia viatu
•Inafaa kwa TV, laptop, keyboard, friji, vioo, na fanicha,Haina madhara kwa vifaa vya kielektroniki
•Rahisi kutumia – nyunyiza na futa tu