Bado unatumia card za Makaratasi kuwaalika? - Tuachie sisi tuwaalike waalikwa wako.
Furahia siku yako Kipekee, Waalike waalikwa wako Kidijitali.
@Phinasa_designs ni Watengenezaji, Wauazaji na Wasambazi wa card zote za kidijitali, Card za;
HARUSI| SENDOFF| KITCHEN PARTY| BIRTHDAY| CORPORATE EVENT.
Zingatia Huduma, Ubora na Gharama.