FISH OIL

(0 reviews)
Brand
One Plus

Price
Tsh 85,000 /Pc
Quantity
(1000 available)
Total Price
Share
Seller
(0 customer reviews)
Top Selling Products

Reviews & Ratings

0 out of 5.0
(0 reviews)
There have been no reviews for this product yet.

LISHE ya mafuta ya samaki inayoundwa na Virutubisho vinavyotambulika kitaalam  kama "Unsaturated fatty acids DHA na EPA ambavyo kawaida havizalishwi mwilini .


✓Inasaidia kuzuia ongezeko la Mafuta katika damu.

✓Husaidia watu wanaosumbuliwa na maradhi sugu ya moyo na ubongo pamoja na kisukari.

✓Changamoto za macho, na kupoteza kumbukumbu haraka..

✓Ni lishe nzuri na ya mbadala Kwa wanaotumia vyakula vyenye asili ya mafuta mengi na vilivyokaangwa mara Kwa mara.

✓Ni LISHE nzuri Kwa vijana na wazee wenye matatizo ya kinga kushuka sana na wanaosumbuliwa na homa mara Kwa mara .



Frequently Bought Products

Top Selling Products