Bidhaa hii ni lishe maalum ya 'Isomalto-oligosaccharide' inasaidia kuondoa sumu zinazotokana na Maji,chakula ,hewa pamoja na matumizi ya madawa mwilini.
✓Inaweka sawa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula tumboni. ✓Inaboresha afya ya Ndani ya mwili (Inner beauty). ✓Kwa walio na Kinga dhaifu na wanaosumbuliwa sana na maumivu ya viungo sababu ya baridi Kali. ✓Kwa wanaotumia TIBA za vidonge Kwa muda mrefu au wanaotibiwa Kwa kutumia mionzi na wale wasio na Kinga ya kutosha inawafaa zaidi.