SPIRULINA TABLETS

(0 reviews)
Brand
One Plus

Price
Tsh 85,000 /Pc
Quantity
(1000 available)
Total Price
Share
Seller
(0 customer reviews)
Top Selling Products

Reviews & Ratings

0 out of 5.0
(0 reviews)
There have been no reviews for this product yet.

Lishe hii inatokana na Unga wa algue usiochanganywa na Wanga .Inayeyuka haraka mwilini(Up to 95%).Ni lishe yenye madini mengi na muhimu zaidi katika mwili.Husaidia kuondoa taka mwilini na kusafisha mfumo wa chakula kama tumbo na utumbo.

✓kwa watu wasio na kinga ya kutosha,Wazee na wahanga wa ajali kusaidia kuponyesha majeraha kwa Urahisi.

✓Inawasaidia wanaofanya kazi ngumu na za kutumia nguvu nyingi.

✓Wanaosumbuliwa na tatizo la msukumo wa damu Kwa kipindi kirefu.

✓Wenye ukosefu wa LISHE Bora ,wenye matatizo na mfumo wa uyeyushaji wa chakula na wanaosumbuliwa na homa ya ini na maumivu ya viungo mara Kwa mara.


Frequently Bought Products

Top Selling Products