Hii ni lishe ya protini inatokana na protini ya soya,Ina Virutubisho muhimu kama Fatty acids,Glycerols,Phosphoric Acid na Cholide ambavyo vyote Kwa pamoja husaidia kusafisha damu Kwa kuondoa Mafuta yaliyo Ganda katika mishipa ya damu.
✓Ni nzuri kutumiwa ili kudhibiti ongezeko kubwa la Mafuta ,sukari,msukumo wa damu na kiharusi "stroke".
✓Inasaidia kuimarisha kumbukumbu na kuzuia ugonjwa wa kutetemeka Kwa watu wazima au wazee.
✓Inafaa kutumiwa na wanaotumia vinywaji vikali au wenye matatizo ya ini mfano walio na mawe katika Figo na ini au walio na homa ya ini ili kupunguza sumu katika mizunguko wa damu na mwili Kwa ujumla.