~>Ni lishe nzuri Kwa watoto na umri wa kati ambao Bado wanaendelea kukua.
~>Pia Kwa wale wenye masharti ya vyakula hii ni lishe kamili na salama Kwa mahitaji ya mwili na yeyote anayehitaji kuboresha zaidi afya yake.
~>Pia ni nzuri sana Kwa akinamama wenye ujauzito na wanaonyonyesha Kwa ajili ya kuimarisha Afya ya mama na mtoto,zaidi pia Inazuia kisukali na magonjwa ya mishipa ya damu.
~>Inasaidia majeraha kupona haraka na Kwa wepesi pia Kwa wale waliofanyiwa upasuaji au waanga wa ajali.