✓Hurekebisha kiwango Cha madini na vitamini muhimu mwilini.
✓Wenye matatizo Sugu ya macho na Ngozi.
✓Wanaoitaji kuboresha uwezo wa macho kuona Vizuri.
✓Wanaotumia vilevi na vinywaji vikali,wanaovuta sigara, na wanaokesha katika hafla mbalimbali na kuchelewa kulala.
✓Walio na utaratibu mbovu wa kula pamoja na wanaoathiriwa na ratiba Ngumu za kazi.
✓ Walio na tatizo la kinga kushuka mara Kwa mara.
✓Wanahitaji kuboresha afya ya macho,kuwa na Ngozi yenye mvuto na kurefusha maisha Kwa kuboresha uimara wa mifumo ya mwili mzima.